Search

29 results for Zuleikha Fatawi :

  1. Mchengerwa: Kawachukulieni hatua wanaotumia mashine hewa za manunuzi

    Mchengerwa amewaelekeza ALAT kwenda kusimamia wanaokwepa kulipa kodi kwa kufanya ujanja ujanja yakiwamo matumizi hayo ya mashine hewa.

  2. Shule iliyosababisha mkandarasi kutimuliwa Zanzibar yafunguliwa

    Hata hivyo, alipotembelea ujenzi wa shule hiyo Julai 17, 2022, Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi alikasirishwa kutokana na kusuasua kwa ujenzi uliokuwa ukitekelezwa na kampuni ya Associated...

  3. Polisi yawashikilia watu 21 wakituhumiwa kwa uhalifu

    Watuhumiwa wamekamatwa baada ya polisi kufanya oparesheni maalumu ya kuwasaka watu wanaojihusisha na matukio ya uhalifu.

  4. Polisi yatoa tahadhari kipindi sikukuu ya Eid el Fitri

    Jeshi la polisi limeahidi kuchukua hatua dhidi ya watakaohusika na vitendo hivyo na kudhibiti usalama barabarani.

  5. Kampuni matatani madai ya mtalii kula hadharani Zanzibar

    Kamisheni ya Utalii Zanzibar (ZCT) imeitoza faini ya Dola za Marekani 500 sawa na Sh1.3 milioni Kampuni ya utalii ya Organisateur Francophone Tours and Travel kwa madai ya kuruhusu wageni kula...

  6. Rushwa ya ngono yatajwa tishio ajira hotelini

    Changamoto ya rushwa ya ngono kwa wanawake wanaohitaji kazi mahotelini imetajwa kuwa ni kikwazo cha kutofikia malengo ya wengi katika kazi hiyo.

  7. Washikiliwa kwa kumshambulia waliomtuhumu kwa ugoni

    Mundhir Karama alishambuliwa kwa fimbo na vitu vyenye ncha kali na kufungwa kitambaa usoni, kisha kupelekwa sehemu isiyofahamika kwa gari. Kisa cha kufanywa hivyo ni kutuhumiwa kufumaniwa na mke...

  8. Mwinyi aendeleza juhudi za kukuza utalii Zanzibar

    Wadau hao wamekutana kujadili namna watakavyoiunga mkono Serikali kwenye jitihada za kukuza sekta ya utalii visiwani humo.

  9. Petroli, dizeli bei juu Zanzibar

    Haji amesema mafuta ya dizeli lita moja ni Sh3,102 wakati mwezi uliopita yaliuzwa kwa Sh3,101, sawa na ongezeko la asilimia 0.03.

    New Content Item (1)
  10. Zaidi ya 4,000 waugua ugonjwa wa macho mekundu Zanzibar

    Naibu Waziri wa Afya Zanzibar, Hassan Khamis Hafidh amesema hayo leo Januari 30, 2024 na kuongeza kuwa, wagonjwa hao wameripotiwa katika hospitali na vituo vya afya vya Serikali na binafsi.

Page 1 of 3

Next